Hippo Parish Mjimwema Songea
Hippo Parish Mjimwema Songea Dayosisi ya Ruvuma Kristo mshindi
Hippo Parish Mjimwema Songea
Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com
Tuesday, 25 July 2017
Saturday, 22 April 2017
Matukio wakati wa Pasaka 16/4/2017
Picha ya Maazimisho ya Misa takatifu, Rev Can Midelo akitoa azimisho hilo Jumapili ya Sikukuu ya Pasaka.
Shemasi D.Nombo na Can John Midelo Wakati wa azimisho la Misa takatifu.
Waumini wakishiriki Meza ya Bwana.
Wanakwaya wa Mt Augustino wakimsifu Mungu mara baada ya Misa takatifu tarehe 16/4/2017 Siku ya Pasaka
Rev Can na wahudumu wa Misa picha ya pamoja na wanakwaya wa Mt Augustino.
Waumini wakipeana amkio la Amani mara baada ya Misa takatifu ya Pasaka 2017 nyuma yao ni Kanisa Jipya.
Rev Can John Midelo akibusu madhabahu kushoto ni Mshumaa wa Pasaka.
Shemasi D.Nombo na Can John Midelo Wakati wa azimisho la Misa takatifu.
Waumini wakishiriki Meza ya Bwana.
Wanakwaya wa Mt Augustino wakimsifu Mungu mara baada ya Misa takatifu tarehe 16/4/2017 Siku ya Pasaka
Rev Can na wahudumu wa Misa picha ya pamoja na wanakwaya wa Mt Augustino.
Waumini wakipeana amkio la Amani mara baada ya Misa takatifu ya Pasaka 2017 nyuma yao ni Kanisa Jipya.
Rev Can John Midelo akibusu madhabahu kushoto ni Mshumaa wa Pasaka.
Sunday, 19 March 2017
RATIBA YA IBADA ZA MISA KWA MIEZI MITATU
KANISA
LA MTAKATIFU AUGUSTINO MJIMWEMA S.L.P.600, SONGEA. http://hippoparish.blogspot.com
RATIBA
YA IBADA KATIKA SIKU ZA BWANA NA SIKUKUU ZA FARADHI MARCH-MAY 2017.
TAREHE
|
JINA LA MTOA MISA
|
MUHUBIRI
|
KENTOR
|
KITUO
|
12/03/2017
|
Fr.R.Mahangula
|
Rev Dec D.Nombo
|
Mzee Msema
|
Mt
Augustino
|
19/03/2017
|
Fr
R.Mahangula
Ev.Haule
|
Fr J.Midelo
Ev.Haule
|
Mzee Sayenda
|
Mt.Augustino
Mwengemshindo
|
26/03/2017
|
Fr
R.Mahangula
Ev.Evansi
Mapunda
|
Dr M.Chanangula
Ev Evansi Mapunda
|
Uamsho
|
Mt Augustino
M/Mshindo
|
02/04/2017
|
Fr .J.Midelo
Rev Dec D.Nombo
|
Ev
E.Dickson
Ev.Dr M.Chanangula
|
Mzee Sayenda
Ev.A.Banda
|
Mt. Augustino
M/mshindo
|
09/04/2017
13/04/2017
13/4/2017
|
Fr. Ziade
Fr Midelo
Fr Ziade
|
Fr .Ziade
Rev Deacon A. Kayombo
Rev Deacon D Nombo
|
Mzee Sayenda
|
Mt.Augustino
Mt. Augustino
Msamalia M
|
14/04/2017
|
Fr.J. Midelo
|
Maneno saba
|
|
Mt.Augustino
|
15/04/2017
|
Fr J.Midelo/ubatizo
|
Fr R.Mahangula
|
Kwaya, Imani, Eliza
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
16/04/2017
|
Fr
R.Mahangula
Rev Dec D.Nombo
|
Fr J.Midelo
Rev Dec D Nombo
|
Mzee Sayenda, Kwaya, Imani, Eliza
|
|
23/04/2017
|
Fr J.Midelo
Fr Mahangula
|
Rev Dec D. Nombo
Fr Mahangula
|
Vijana
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
30/04/2017
|
Fr.Mahangula
Fr J.Midelo
|
Fr Mahangula
Ev.Evansi
|
Mzee J.Sayenda
Ev.Banda
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
07/05/2017
|
Fr.J.Midelo
|
Ev Haule
|
Ev.Haule
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
14/05/2017
|
Fr.R.Mahangula
Rev Dec Nombo
|
Ev Haule
Rev Dec Nombo
|
Mzee G.Msema
Ev.Banda
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
21/05/2017
|
Fr.J.Midelo
Ev Haule
|
Fr.J.Midelo
Ev Haule
|
Vijana
Ev.A.Banda
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
28/05/2017
|
Fr R.Mahangula
Fr J.Midelo
|
Fr R.Mahangula
Fr J.Midelo
|
Vijana
|
Mt.Augustino
M/Mshindo
|
|
|
|
|
|
Usalishaji wa sala za
asubuhi utabaki chini ya Uongozi wa Mzee Msema, Sayenda na Baba na Shemasi
Nb:
Mhubiri atumie muda usiopungua dk 20-30.
Friday, 10 March 2017
BAJETI YA UJENZI WA KANISA
SUMMARY
KUU
AWAMU YA KWANZA I ……………………………………………… 37,166,300/00
AWAMU YA PILI II ……………………………………………………. 79,011,770/00
AWAMU YA TATU III ……………………………………………… 70,536,575/00
JUMLA YA GHARAMA ZA UJENZI AWAMU ZOTE 186,714,645/00
JUMLA YA GHARAMA ZA UJENZI AWAMU ZOTE 186,714,645/00
HATUA ZILIZOKWISHAFANYIKA
AWAMU YA KWANZA I
………………………………………………. 37,025,300/00
UNUNUZI WA BATI YA AWAMU
KWANZA ………………………. 10,303,230/00
UNUNUZI WA BATI AWAMU YA
PILI ……………………………. 10,092,000/00
JUMLA YA FEDHA ZILIZOKWISHATUMIKA …………………… 57,420,530/00
FEDHA ZINAZOHITAJIKA
JUMLA YA FEDHA AWAMU ZOTE ……………………………….. 186,714,645/00
JUMLA YA FEDHA ZILIZOKWISHA
TUMIKA ……………………. 57,420,530/00(-)
JUMLA YA FEDHA ZINAZOHITAJIKA
…………………………… 129,294,115/00
Kutokana
na mchanganuo tuliouonesha hapo juu Kanisa kipya mpaka ujezni wake wote kuisha
litagharimu Tshs 186,714,645/00.
Mpaka
sasa hatua za ujenzi uliokamilikani Awamu yote ya kwanza I iliyoghramu Tshs
37,025,300/00, na katika Awamu ya pili II, Kanisa limeshakamilisha Ununuzi wa
bati awamu ya kwanza I wa kiasi cha Tshs 10,303,230/00n aUnunuzi wa bati awamu
ya pili II wa kiasi cha Tshs 10,02,000/00 kwa pamoja zikiwa imezimeshagharimu Kanisa kiasi cha takribani
Tshs 57,420,530/00 ambazo ni sawa na asilimia thelathini (30.75%) ya gharama
zote za ujenzi mzima wa Kanisa jipya
Kulingana
na hesabu za hapo juu, Kanisa linaomba kiasi cha 129,294,115/=
Kristo, Upendo na Amani.
Ninakusalimu kwa jina la BWANA YESU.
Mchakato wa ujenzi wa Kanisa jipya la Mtakatifu
Augustino Mjimwema ulianza rasmi tarehe 14/09/2009. Uamuzi huu ulitolewa na
waumini baada ya kuona kuwa idadi ya waumini imekuwa kubwa kuliko uwezo wa
kanisa la zamani (linnalotumika mpaka sasa).
Hadi sasa kaisa lina idadi
ya waumini 559.
Uamuzi huu ulikubaliwa na
Halmashauri ya kanisa, ndipo kamati ya Mipango na Fedha
ya kanisa ilipoanzisha mpango maalumu kwa
wakristo(waumini) wa kanisa la Mt. Augustino kuanza kuchangia kwa hali na mali
ili kuwezakufanikisha ukenzi huu wa
kaisa jipya.
Mpango huu wa kuchangia ulianza
rasmi tangu mwaka 2009, ambapo ulihusisha waumini wote wa kanisa la Mt.
Augustino kwa kufuata utaratibu wa kijumuiya kwa jumuiya zote tano zilizopo.
Kamati ya Ujenzi ya kanisa
mwaka 2009 ilianza kuratibu namna yay a kuanza kazi ya ujenzi wa kanisa jipya.
Kamati ya Ujenzi iliigawa kazi hiyo katika awamu kuu tatu
I.
Kuanzia msingi
hadi Rinta
II.
Kuezeka
III.
Kumalizia
(finishing)
Mpango huu upo kama
inavyoonekana katika majedwali mbalimbali yafuatayo
I.
AWAMU YA KWANZA
Awamu ya kwanza ya Ujenzi wa
kanisa jipya la Mt. Augustino ulianza rasmi tar 14/09/2009
Mchakato
TSHS
- KIWANJA kilipatikana na kulipiwa ……………………………… 900,000/00
- UJENZI WA MSINGI
Kuchora
ramani …………………………………………………….. 120,000/00
Upimaji
wa Msingi ……………………………………...………….
10,000/00
Uchimbaji
wa msingi (nguvu za waumini) …………………………
520,000/00
Ununuzi
wa tofari 31,500@30/00 ………………………………….
945,000/00
Ununuzi
wa nondo (mm 16) 24@23,000/00 …................................ 552,000/00
Ununuzi
wa nondo (mm 6) 12@ 7,000/00 …………………………
84,000/00
Unuuzi
wa Mbao na Boriti …………………………………………
116,000/00
Misumari
kg 4@4,000/00 …............................................................ 16,000/00
Ununuzi wa Kamba ……………………………………………… 10,000/00
Misumari
kg 4@4000/00
…............................................................. 16,000/00
Ununuzi
wa vifaa mbalimbali …………………………………….
48,000/00
Binding
wire …………………………………………………….. 24,000/00
Gharama
ya maji …………………………………………………. 49,000/00
Kata chuma + oil chafu
…………………………………………. 11,000/00
Ununuzi wa mabanzi na
usafirishaji ……………………………. 41,000/00
Kusakafia kitako cha msingi
…………………………………….. 90,000/00
Kokoto tripu moja
………………………………………………. 140,000/00
Mchanga tripu
…………………………………………………… 63,000/00
Labour charge
…………………………………………………… 1,106,000/00
GHARAMA
ZA UJENZI WA MSINGI 3,945,000/00
03. NGUZO AWAMU YA KWANZA
Gharama ya kumimina nguzo 19@174,500/00
….................................
3,315,000/00
Mbao za kutengeneza box, 24@ 10,500/00
………………………….. 252,000/00
Mbao za kutengenneza box,
14@8,000/00 …........................................ 112,000/00
Ununuzi wa mirunda
……………………………………………….....
5,000/00
Kuranda/ kunyosha mbao
…………………………………………….. 34,000/00
Usafirishaji wa mbao
…………………………………………………. 32,000/00
GHARAMA YA KUMIMINA
NGUZO AWAMU YA I 3,750,000/00
04. GHARAMA ZA UJENZI WA
UKUTA AWAMU YA KWANZA
Ununuzi wa tofari
65,000@36/62 ……………………………………
2,380,300/00
Usafirishaji wa tofari tripu
35@ 43,428/57 ………………………….
1,520,000/00
Cementi mifuko 34@17,000/00
…...................................................... 578,000/00
Usafirishaji cementi
………………………………………………….
28,000/00
Mchanga tripu 4@63,000/00
….......................................................... 252,000/00
Mirunda na mabanzi
………………………………………………...
30,000/00
Labour charge
……………………………………………………… 2,106,000/00
GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA
KWANZA I 6,894,300/00
05. GHARAMA ZA KUTANDIKA
JAMVI
Tofari saizi ya kati
6,500@50/00 ………………………………..
325,000/00
Cementi mifuko 87@16,000/00
…............................................................ 1,392,000/00
Mchanga tripu 9@70,000/00
…................................................................. 630,000/00
Kujaza kifusi
…………………………………………………………….. 2,000,000/00
Labour charge
……………………………………………………………. 270,000/00
GHARAMA ZA KUTANDIKA JAMVI 4,617,000/00
06. GHARAMA ZA RINGBEAM
AWAMU YA KWANZA
Nondo (mm 12) 42@19,000/00
…............................................................. 798,000/00
Nodo (mm 8) 20@ 12,000/00
…………………………………………… 240,000/00
Binding wire kg 12@ 3,500/00
…………………………………………. 42,000/00
Mbao 55@7,000/00
…............................................................................... 385,000/00
Misumari 4” kg 8@ 3,000/00
…………………………………………… 24,000/00
Misumari 3” kg 8@ 3,000/00
…………………………………………… 24,000/00
Misumari 2 ½ “ kg 10@
3,000/00 ……………………………………….
30,000/00
Mirunda 50@ 4,000/00 …………………………………………………. 200,000/00
Mchanga tripu 2@ 70,000/00
………………………………………….. 140,000/00
Kokoto tripu 2@ 200,000/00
…………………………………………… 400,000/00
Cementi mifuko 60@ 17,500/00
……………………………………….. 1,050,000/00
Usafirishaji vifaa
mbalimbali …………………………………………..
30,000/00
Labour charge
…………………………………………………………...
295,000/00
Nguvu kazi waumini
…………………………………………………… 885,000/00
GHARAMA ZA RINGBEAM AWAMU
YA KWANZA 4,543,000/00
07. GHARAMA ZA KUPANDISHA
NGUZO AWAMU YA PILI II
Nondo (mm 16) 19@ 30,000/00
…............................................................ 570,000/00
Nondo (mm 8) 12@ 11,000/00
………………………………………….. 132,000/00
Mifuko ya cementi 38@
17,000/00 ……………………………………..
646,000/00
Binding wire kg 8@ 3,000/00
…………………………………………..
24,000/00
Misumari kg 6@ 3,000/00
………………………………………………
18,000/00
Labour charge …………………………………………………………… 270,000/00
Nguvu kazi ya waumini
………………………………………………….. 190,000/00
GHARAMA ZA KUPANDISHA NGUZO AWAMU YA PILI II 1,850,000/00
08. GHARAMA ZA UJENZI WA
UKUTA AWAMU YA PILI II
Ununuzi wa tofari 32,000@
50/00 ……………………………………….
1,600,000/00
Ununuzi wa mchanga tripu 3@
70,000/00 ……………………………… 210,000/00
Ununuzi wa cementi mifuko
38@ 16,000/00 ……………………………
608,000/00
Kununua mirunda 30@ 6,000/00
………………………………………… 180,000/00
Labour charge
……………………………………………………………. 1,490,000/00
GHARAMA ZA UJENZI WA
UKUTA AWAMU YA PILI II 4,088,000/00
09. GHARAMA ZA UJENZI WA
RINGBEAM AWAMU YA PILI II
Nondo (mm 12) 48@ 19,000/00
…………………………………………. 912,000/00
Nondo (mm 8) 26@12,000/00
…............................................................... 312,000/00
Binding wire kg 15@ 3,500/00
…………………………………………..
52,500/00
Misumari 4” kg 6@ 3,000/00
…………………………………………….
18,000/00
Misumari 3” kg 8@ 3,000/00
…………………………………………….
24,000/00
Misumari 2 ½ “ kg 6@ 3,000/00
………………………………………… 18,000/00
Mchanga mgumu tripu 3@
70,000/00 ……………………………………
210,000/00
Kokoto tripu 3@ 200,000/00
……………………………………………..
600,000/00
Cementi mifuko 115@
17,500/00 ………………………………………..
2,012,500/00
Mirunda 35@
4,000/00……………………………………………………
240,000/00
Usafirishaji wa vifaa
………………………………………………………
85,000/00
Nguvu kazi ya waumini
…………………………………………………..
1,745,000/00
Labour charge ……………………………………………………………. 350,000/00
GHARAMA ZA UJENZI WA RINGBEAM AWAMU
YA PILI II 6,579,000/00
SUMMARY
AWAMU YA KWANZA I
- KIWANJA ……………………………..……………………………… 900,000/00
- GHARAMA ZA UJENZI WA MSINGI ……………………………… 3,945,000/00
- GHARAMA YA KUMIMINA NGUZO AWAMU YA I …………. 3,750,000/00
- GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA KWANZA I 6,894,300/00
- GHARAMA ZA KUTANDIKA JAMVI …………………………… 4,617,000/00
- GHARAMA ZA RINGBEAM AWAMU YA KWANZA ……... 4,543,000/00
- GHARAMA ZA KUPANDISHA NGUZO AWAMU YA PILI II … 1,850,000/00
- GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA PILI II ……... 4,088,000/00
- GHARAMA ZA UJENZI WA RINGBEAM AWAMU YA PILI II … 6,579,000/00
JUMLA YA GHARAMA AWAMU YA
KWANZA 37,166,300/00
AWAMU
YA PILI II KUEZEKA
01. MANUNUZI
YA BATI AWAMU YA KWANZA I
Bati
90;7.5m (90 x 7.5m= 675m) 675m@ 14,419/60………………. 9,733,230/00
Nauli
(Songea- Dsm-Songea) …………………………………………
200,000/00
Usafirishaji
wa bati ……………………………………………………
270,000/00
Kupakia/kupakua
bati ………………………………………………… 100,000/00
MANUNUZI YA BATI
AWAMU YA KWANZA I 10,303,230/00
02. MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI II
Bati 90;7.0m (90 x 7.0m= 630m) 630m@
15,000/00 ………..………… 9,450,000/00
Nauli
(Songea- Dsm-Songea………………………………………….. 200,000/00
Usafirishaji
wa bati …………………………………………………...…
342,000/00
Kupakia/kupakua
bati……………………………………… ………….. 100,000/00
MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI II 10,092,000/00
03. MANUNUZI YA BATI AWAMU YA TATU III
Bati 70; 10m (90 x 10m= 700m) 700m@
15,000/00 ………..………… 10,500,000/00
Nauli (Songea-
Dsm-Songea…………………………………………..
200,000/00
Usafirishaji wa bati
…………………………………………………...… 266,000/00
Kupakia/kupakua bati……………………………………… …………..
100,000/00
MANUNUZI
YA BATI AWAMU YA TATU III 11,066,000/00
04. MANUNUZI
YA VYUMA
Medium black pipe 2 ½ “ x
6M; 75 pcs@ 69,000/00 ……………………..
5,175,000/00
Medium black pipe 2 “ x 6M; 22 pcs@ 54,000/00 ………………………. 1,188,000/00
Medium black pipe 1 ½ “ x
6M; 120 pcs@ 38,300/00 ……………………
4,596,000/00
Z Purlins 6” x 2” x 2”; 200@
48,000/00 ………………………………… 9,600,000/00
HRP 8 x 4 x 6 ; 2 @
193,000/00 ………………………………………… 386,000/00
M/s FLAT BARS 50 x 4 mm; 5@
16,300/00 …………………………….
81,500/00
Angle lines 50 x 50 x 4mm;
35@ 31,300/00 ..……………………………. 1,095,500/00
Aluminium Plain sheet 2mm ; 13@
147,000/00 ………………………….. 1,911,000/00
Cutting discs 9” Farasi, 75@
3,700/00 …………………………………… 277,500/00
Gold Star R/oxide, 16@
16,700/00 ………………………………………. 267,200/00
Gold Star Hg A/Grey Box-4lt,
24@ 69,500/00 …………………………… 1,668,000/00
Stick 3.2 mm, 24@
11,500/00 …………………………………………….. 276,000/00
Paint Brush 3 inch Tz, 10@
2,350/00 …………………………………….. 23,500/00
Bolt & Nuts 16 mm x 50
mm; 100@ 2,700/00 …………………………… 270,000/00
Manila Kamba 18 mm; 20@ 76,000/00 ………………………………….. 1,520,000/00
Steel Bars Tz Y16; 2@
24,600/00 ………………………………………… 49,200/00
SHS Class C 50 x 25 x 2.0 mm
(2 “ x 2.0 mm); 30 @ 23,000/00 ………….
690,000/00
IT5 Alaf 28G; 30@
12,000/00 …………………………………………….. 360,000/00
Valley Sheet; 6@
12,000/00 ……………………………………………. 72,000/00
Self Taping screw 2 ½ “ ;
5@17,000/00 ………………………………… 85,000/00
Jumla ndogo 29,591,400/00
Dharura ( 10% ya jumla
ndogo) ………………………………………. 2,959,140/00
GHARAMA MANUNUZI YA VYUMA 32,550,540/00
05. GHARAMA ZA
FUNDI KUEZEKA …………………… 15,000,000/00
SUMMARY
AWAMU
YA PILI II
01. MANUNUZI YA BATI AWAMU YA KWANZA I 10,303,230/00
02. MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI II 10,092,000/00
03. MANUNUZI YA BATI AWAMU YA TATU III
11,066,000/00
04. GHARAMA MANUNUZI YA VYUMA 32,550,540/00
05. GHARAMA ZA FUNDI KUEZEKA…………… 15,000,000/00
GHARAMA
ZA UJENZI AWAMU YA PILI II 79,011,770/00
AWAMU
YA TATU III
01. GHARAMA ZA
UMEME
Main switch 2@
40,000/00 …………………………………….. 80,000/00
Twin sockets 13@
8,500/00 …………………………………….. 110,500/00
Cooker
box 13@ 1,000/00 ……………………………………… 13,000/00
1
Gang 2 ways switch 2@ 3,500/00
…………………………….
7,000/00
2
Gang 2 ways switch 2@ 3,500/00 ………………………… 7,000/00
3
Gang 2 ways switch; 2@ 4,500/00
…………………………
9,000/00
4
Gang 2 ways switch 2@ 6,500/00
……………………………
13,000/00
Circuit
breaker 2@ 25,000/00 ………………………………….. 50,000/00
1.5
mm2 wire ; 10
rolls@ 130,000/00 ………………………….. 1,300,000/00
1.5mm2
flexibe wire 50m@ 1,600/00 …………………………... 80,000/00
2.5
mm2 Wire; 3 rolls@
140,000/00 …………………………… 420,000/00
Wire
6.0 mm2 ; 7m@ 6,500/00
………………………………….
45,500/00
Ceiling
fan 8@ 65,000/00 ………………………………………. 520,000/00
Wall
fan 5@ 55,000/00 …………………………………………. 275,000/00
Lamp
holder (tronic) 30@ 2,500/00
………………………………
75,000/00
Energy
saver 85Watts 16@12,000/00
…………………………….
192,000/00
Energy
saver 35 watts; 20@ 4,500/00
…………………………….
90,000/00
Angle 12@ 2,500/00
…………………………………………….. 30,000/00
Heater
switch 2 @ 5,000/00 ……………………………………… 10,000/00
Single
sockets 5@ 5,500/00 ……………………………………… 27,500/00
Conduit
pipes (WHITE) 500@ 1,500/00 ………………………… 750,000/00
Elbow
joints 100@ 500/00 ……………………………………… 50,000/00
Square
box for joints 30@ 500/00
……………………………….
15,000/00
Square
box cover 30@ 300/00
…………………………………..
9,000/00
Vintapes
10@ 1,000/00 …………………………………………. 10,000/00
Cut
out (100 amps) 1……………………………………………. 20,000/00
Earth
rod 1 ……………………………………………………….
20,000/00
Earth
wire 15m@ 1,000/00 ……………………………………… 15,000/00
SADIT
50@ 500/00 …………………………………………….. 25,000/00
Galvanized
pipes ½ “ 4 ………………………………………….
Gharama
ya kuingiza umeme (TANESCO) …………………….. 320,000/00
Jumla ndogo 4,588,000/00
Dharura
( 15% INCL galvanised pipes)
……………………. 688,275/00
Gharama
za fundi …………………………………………… 917,000/00
GHARAMA ZA UMEME 6,194,475/00
02. GHARAMA ZA VIGAE/MARUMARU
I. GHARAMA ZA VIGAE
(i)
Eneo la Kanisa = Upana (m 20) x Urefu (25.7)
= 514.0 m2
(ii)
Eneo la korido = Upana (m 3.5) x Urefu (9.5)
= 33.25 m2
Jumla
ya eno zima la Kanisa ni ; (514 + 33.25) m2
= 547.25 m2
= (547.25 x 10,000) cm2
Marumaru
moja ina urefu wa cm 40 na upana wa cm 40, kwa hiyo eneo la marumaru moja ni cm2
(40 x 40), ambazo ni cm2 1,600. Ili kupata marumaru
zitakazotesheleza eneo la Kanisa lenye cm2 5,472, 500, tunatakiwa kugawa kwa eneo la
marumaru moja ambalo ni cm2 1,600
Marumaru
= cm2 5,472,500
Cm2 1,600
=3420
Kwa
kuwa boksi moja la marumaru lina na marumarru kumi ; kupata idadi ya boksi
zitakazotumika tunagawa idadi ya marumaru kwa kumi
= 3420/10
= 342
Jumla
ya boksi za marumaru zitakazotumika ni 342@ 37,000/00…….. 12,654,000/00
II.
GHARAMA ZA UWEKAJI MARUMARU
.
Cementi mifuko 60@ 15,000/00 ……………………………………... 900,000/00
Usafirishaji
wa cementi …………………………………………………
50,000/00
Mchanga
lori 5@ 70,000/00 ……………………………………………
350,000/00
Labour
charge ………………………………………………………….
2,790,000/00
Dharura
( 10% ya gharama) ……………………………………
1,395,000/00
JUMLA YA GHARAMA ZA VIGAE NA UWEKAJI 18,139,400/00
03. MILANGO
(11)
I. FREMU
Boriti
28@15,000/00
…......................................................................... 420,000/00
Kuranda
boriti 28@ 2,000/00
…………………………………………
56,000/00
Urembo
boriti 28@ 2,000/00 ………………………………………….
56,000/00
Ufundi
fremu 11@ 15,000/00 …………………………………………
165,000/00
Jumla 697,000/00
II. SHATA ZA MILANGO
Boriti
(8” x 2”) 45@ 25,000/00 ……………………………………….
1,125,000/00
Mbao
10” x 1”) 38@ 25,000/00 ……………………………………..... 950,000/00
Kuranda
16 ps@ @ 25,000/00 ………………………………………....
400,000/00
Ufundi 10 ps@ 25,000/00 ……………………………………………. 250,000/00
6 ps@ 30,000/00
……………………………………………. 180,000/00
Usafiri
……………………………………………………………………. 50,000/00
GHARAMA
ZA SHATA ZA MILANGO …2,955,000/00
III. VIFAA VINAVYOHITAJIKA
Vitasa
11@ 100,000/00 …………………………………………………..
1,100,000/00
Bawaba
36@ 4,500/00 ……………………………………………………
162,000/00
Vanish
lita 15@8,000/00
…......................................................................... 120,000/00
Tinner
5@ 2,500/00 ……………………………………………………….
12,500/00
Msasa
15 pcs@ 200/00 …………………………………………………….. 3,000/00
Jumla ndogo 1,397,500/00
SUMMARY
FREMU …………………………………………………………….. 697,000/00
SHATA ……………………………………………………………. 2,955,000/00
VIFAA ……………………………………………………………. 1,397,500/00
GHARAMA ZA
MILANGO ……………………. 5,049,500/00
04.
UJENZI WA GIBLO
Matofali
25,000@ shs 60/00 …………………………………………….
1,500,000/00
Mirunda
mikubwa 10@ 6,000/00 ………………………………………. 60,000/00
Mirunda
midogo 15@ 4,000/00 ………………………………………… 60,000/00
Mirunda
midogo 10@ 3,000/00
…………………………………………
30,000/00
Mabanzi
25@ 3,500/00 ………………………………………………….
87,500/00
Misumari
4” kg 8@ 4,000/00 ……………………………………………. 32,000/00
Misumari 3” kg 7@ 4,000/00 …………………………………………… 28,000/00
Vifaa
vya kazi
Karai 4@ 5,000/00
………………………………………. 20,000/00
Ndoo ndogo 4@ 3,000/00
………………………………. 12,000/00
Ndoo kubwa 3@ 6,000/00
………………………………. 18,000/00
Kamba ya Manira
3@2,000/00 ………………………….. 6,000/00
Kamba ya katani bunda
6@ 6,000/00 ……………………
36,000/00
Banding 4@
4,000/00 …………………………………… 16,000/00
Usafirishaji
vifaa …………………………………………………………..
650,000/00
Chakula
wakati wa kazi …………………………………………………. 150,000/00
Labour
charge
………………………………………………………..
593,100/00
JUMLA UJENZI WA GIBLO 3,558,600/00
5.
GHARAMA ZA MADIRISHA YA ALMUNIUM
JAM
60@ 38,000/00 ……………………………………………………..
2,280,000/00
CLI
16@ 38,000/00 ……………………………………………………… 608,000/00
PLEN
27@ 18,000/00 ………………………………………………… 486,000/00
HOOKES
27@ 18,000/00 ………………………………………………..
486,000/00
TOP
27@ 18,000/00
……………………………………………………
486,000/00
HENGO
4@ 18,000/00 ………………………………………………….. 72,000/00
RABASHATA
6@ 30,000/00 ……………………………………………
180,000/00
ROLASHATA
252@ 600/00 ……………………………………………
151,200/00
RIVERT
BOX 4 @17,500/00 ………………………………………….. 70,000/00
SCREWS
SHATA 2@ 17,500/00 ………………………………………. 35,000/00
SCREWS
UKUTA 4@ 17,500/00 ………………………………………. 70,000/00
FESNA
LOCK 63@ 2,500/00
………………………………………….
157,500/00
FISHERBOX
6@ 1,500/00 ………………………………………………
9,000/00
NYOYA
KUBWA 4@ 30,000/00 ………………………………………. 120,000/00
KIOO
SHEET 31@ 93,000/00 …………………………………………..
2,883,000/00
LABOUR
CHARGE 63@ 20,000/00 ……………………………………
1,260,000/00
DHARURA
(10% ) ……………………………………………………… 809,300/00
GHARAMA ZA
MADIRISHA ALMINIUM 10,163,000/00
06.
GRILL( MADIRISHA NA MILANGO)
I. MADIRISHA
Jumla
ya madirisha ni 63
a.
Madirisha ya Juu (40)
Pipe
2 (1” x 1” )@ 9,500/00 x 40 …………………………………………. 760,000/00
Flatbars
(4mm) 5@ 9,000/00 x 40 …………………………………………
1,800,000/00
b.
Madirisha ya chini (23)
Pipe
2 (1 ½ ” x 1” )@ 14,500/00 x 23 …………………………………. 667,000/00
Flatbars
(4mm) 5@ 9,000/00 x 23 …………………………………………
1,035,000/00
Labour
charge 63@ 25,000/00 …………………………………………….
1,575,000/00
GHARAMA ZA GRILL
MADIRISHA 5,837,000/00
II. MILANGO
Mlango
1: (260 cm x 140 cm)
Pipe
5 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 80,000/00
Sheet
2@ 48,000/00
…………………………………………………………. 96,000/00
Mlango
2: (266 cm x 193 cm)
Pipe
5 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 80,000/00
Sheet
2@ 48,000/00
…………………………………………………………. 96,000/00
Mlango
3: (265 cm x 134 cm)
Pipe
4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 64,000/00
Sheet
1 ½ @ 48,000/00………………………………………………………. 72,000/00
Mlango
4: (263 cm x 110 cm)
Pipe
4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 64,000/00
Sheet
1@ 48,000/00
…………………………………………………………. 48,000/00
Mlango
5: (262 cm x 118 cm)
Pipe
4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 64,000/00
Sheet
1@ 48,000/00
…………………………………………………………. 48,000/00
Mlango
6: (253 cm x 98 cm)
Pipe
3 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 ………………………………………….. 48,000/00
Sheet
1@ 48,000/00 …………………………………………………………. 48,000/00
GHARAMA ZA GRILL MILANGO 808,000/00
III. VIFAA
VYA MILANGO
Stick
box 10@ 7,500/00 ………………………………………………… 75,000/00
Lead
Oxide (rangi ya kutu) lita 4; 6@ 20,000/00 ………………………. 120,000/00
Bawaba
za Mlango mmoja 2; 14@ 3,000/00 ……………………………. 42,000/00
Cutting
disc 10@ 5,000/00 ………………………………………………. 50,000/00
Grinding
disc 10@ 5,000/00
…………………………………………….
50,000/00
Mafuta
ya Lead Oxide (Tinner) lita 10@ 2,000/00 ………………………. 20,000/00
Labour
charge ……………………………………………………………… 230,000/00
JUMLA YA GHARAMA ZA VIFAA 587,000/00
SUMMARY
GHARAMA ZA GRILL MADIRISHA …………………………... 5,837,000/00
GHARAMA ZA GRILL MILANGO ………………………………………... 808,000/00
JUMLA YA GHARAMA ZA VIFAA ……………………………….. 587,000/00
Subscribe to:
Posts (Atom)