Hippo Parish Mjimwema Songea

Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com

Wednesday 24 August 2016


 Baba Askofu akiwawekea baadhi wahitimu wa darasa la Kipaimara mikono ya baraka

Vijana wa darasa la Kipaimara lililohitimu na kubarikiwa na Baba Askofu R Haule tar 05/08/2016 katika Kanisa la Anglikana la Mt Agustino Mjimwema
                                Kwaya ya Mt Agustino ikimsifu MUNGU wakati wa IBADA
Baba Askofu akiweka Uvumba kwenye Chetezo wakati wa Ibada ya Kipaimara

 Msafara wa Baba Askofu ukielekea Kanisani kwa ajili ya IBADA ya Kipaimara iliyofanyika tar 05/08/2016 katika Kanisa la Mt Agustino Mjimwema Songea

Baba Akofu akiwa na watoto pamoja na Mlezi wao kutoka kituo ch SWACO Songea baada ya kukabidhi sehemu ya zawadi toka kwa wakristo wa Kanisa la Mt Agustino Mjimwema, siku ya tar 05/08/2016