Hippo Parish Mjimwema Songea

Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com

Monday 24 October 2016

"... SI WAWILI TENA, BALI MWILI MMOJA." (Mwa 2:24,Mt 19:6)
Misa ya Ndoa takatifu (kati ya Richard na Tayamika, na John na Mekrina) iliyoongozwa na mapadre watatu Rev.Midelo, Rev. Mahangula na padre mgeni Rev. Msema,



Mungu BABA mwanzilishi wa chombo hiki cha ndoa, azibariki ndoa hizi, azilinde, na kuzifanya zizae matunda mema