Hippo Parish Mjimwema Songea

Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com

Saturday, 22 April 2017

Matukio wakati wa Pasaka 16/4/2017

 Picha ya Maazimisho ya Misa takatifu, Rev Can Midelo akitoa azimisho hilo Jumapili ya Sikukuu ya Pasaka.


 Shemasi D.Nombo na Can John Midelo Wakati wa azimisho la Misa takatifu.

Waumini wakishiriki Meza ya Bwana.

Wanakwaya wa Mt Augustino wakimsifu Mungu mara baada ya Misa takatifu tarehe 16/4/2017 Siku ya Pasaka
 Rev Can na wahudumu wa Misa picha ya pamoja na wanakwaya wa Mt Augustino.
 Waumini wakipeana amkio la Amani mara baada ya Misa takatifu ya Pasaka 2017 nyuma yao ni Kanisa Jipya.
Rev Can John Midelo akibusu madhabahu kushoto ni Mshumaa wa Pasaka.

Sunday, 19 March 2017

RATIBA YA IBADA ZA MISA KWA MIEZI MITATU



KANISA LA MTAKATIFU AUGUSTINO MJIMWEMA S.L.P.600, SONGEA. http://hippoparish.blogspot.com
RATIBA YA IBADA KATIKA SIKU ZA BWANA NA SIKUKUU ZA FARADHI MARCH-MAY 2017.
TAREHE
JINA LA MTOA MISA
MUHUBIRI
KENTOR
KITUO
12/03/2017

Fr.R.Mahangula

Rev Dec D.Nombo

Mzee Msema
 Mt Augustino

19/03/2017

Fr  R.Mahangula
 Ev.Haule
Fr J.Midelo
Ev.Haule
Mzee Sayenda

Mt.Augustino
Mwengemshindo
26/03/2017
Fr  R.Mahangula
Ev.Evansi  Mapunda
Dr M.Chanangula
Ev Evansi Mapunda
Uamsho

Mt Augustino
M/Mshindo
02/04/2017
Fr .J.Midelo
Rev Dec D.Nombo
Ev  E.Dickson
Ev.Dr M.Chanangula
Mzee Sayenda
Ev.A.Banda
Mt. Augustino
M/mshindo
09/04/2017
13/04/2017
13/4/2017
Fr. Ziade
Fr Midelo
Fr Ziade
Fr .Ziade
Rev Deacon A. Kayombo
Rev Deacon D Nombo
Mzee Sayenda

Mt.Augustino
Mt. Augustino
Msamalia M
14/04/2017
Fr.J. Midelo
Maneno saba

Mt.Augustino
15/04/2017
Fr J.Midelo/ubatizo

Fr R.Mahangula
Kwaya, Imani, Eliza

Mt.Augustino
M/Mshindo
16/04/2017
Fr  R.Mahangula
Rev Dec D.Nombo
Fr J.Midelo
Rev Dec D Nombo
Mzee Sayenda, Kwaya, Imani, Eliza


23/04/2017

Fr J.Midelo
Fr Mahangula
Rev Dec D. Nombo
Fr Mahangula
Vijana

Mt.Augustino
M/Mshindo
30/04/2017
Fr.Mahangula
Fr J.Midelo
Fr Mahangula
Ev.Evansi
Mzee J.Sayenda
Ev.Banda
Mt.Augustino
M/Mshindo
07/05/2017
Fr.J.Midelo
Ev Haule
Ev.Haule
Mt.Augustino
M/Mshindo
14/05/2017
Fr.R.Mahangula
Rev Dec Nombo
Ev Haule
Rev Dec Nombo
Mzee G.Msema
Ev.Banda
Mt.Augustino
M/Mshindo
21/05/2017
Fr.J.Midelo
Ev Haule
Fr.J.Midelo
Ev Haule
Vijana
Ev.A.Banda
Mt.Augustino
M/Mshindo
28/05/2017

Fr R.Mahangula
Fr J.Midelo
Fr R.Mahangula
Fr J.Midelo
Vijana
Mt.Augustino
M/Mshindo






Usalishaji wa sala za asubuhi utabaki chini ya Uongozi wa Mzee Msema, Sayenda na Baba na  Shemasi
Nb: Mhubiri atumie muda usiopungua dk 20-30.











Friday, 10 March 2017

BAJETI YA UJENZI WA KANISA




SUMMARY KUU
AWAMU YA KWANZA I   ………………………………………………   37,166,300/00
AWAMU YA PILI II    …………………………………………………….  79,011,770/00
AWAMU YA TATU III   ………………………………………………       70,536,575/00
                 JUMLA YA GHARAMA ZA UJENZI AWAMU ZOTE            186,714,645/00

HATUA ZILIZOKWISHAFANYIKA
AWAMU YA KWANZA I ……………………………………………….         37,025,300/00
UNUNUZI WA BATI YA AWAMU KWANZA  ……………………….         10,303,230/00
UNUNUZI WA BATI AWAMU YA PILI    …………………………….         10,092,000/00
JUMLA YA FEDHA ZILIZOKWISHATUMIKA     ……………………         57,420,530/00

FEDHA ZINAZOHITAJIKA
JUMLA YA FEDHA AWAMU ZOTE    ………………………………..    186,714,645/00
JUMLA YA FEDHA ZILIZOKWISHA TUMIKA  …………………….       57,420,530/00(-)
   JUMLA YA FEDHA ZINAZOHITAJIKA ……………………………    129,294,115/00

Kutokana na mchanganuo tuliouonesha hapo juu Kanisa kipya mpaka ujezni wake wote kuisha litagharimu Tshs 186,714,645/00.
Mpaka sasa hatua za ujenzi uliokamilikani Awamu yote ya kwanza I iliyoghramu Tshs 37,025,300/00, na katika Awamu ya pili II, Kanisa limeshakamilisha Ununuzi wa bati awamu ya kwanza I wa kiasi cha Tshs 10,303,230/00n aUnunuzi wa bati awamu ya pili II wa kiasi cha Tshs 10,02,000/00 kwa pamoja zikiwa  imezimeshagharimu Kanisa kiasi cha takribani Tshs 57,420,530/00 ambazo ni sawa na asilimia thelathini (30.75%) ya gharama zote za ujenzi mzima wa Kanisa jipya
Kulingana na hesabu za hapo juu, Kanisa linaomba kiasi cha   129,294,115/=
 

Kristo, Upendo na Amani. Ninakusalimu kwa jina la BWANA YESU.
Mchakato  wa ujenzi wa Kanisa jipya la Mtakatifu Augustino Mjimwema ulianza rasmi tarehe 14/09/2009. Uamuzi huu ulitolewa na waumini baada ya kuona kuwa idadi ya waumini imekuwa kubwa kuliko uwezo wa kanisa la zamani (linnalotumika mpaka sasa).
Hadi sasa kaisa lina idadi ya waumini 559.
Uamuzi huu ulikubaliwa na Halmashauri ya kanisa, ndipo kamati ya Mipango na Fedha
ya kanisa  ilipoanzisha mpango maalumu kwa wakristo(waumini) wa kanisa la Mt. Augustino kuanza kuchangia kwa hali na mali ili kuwezakufanikisha  ukenzi huu wa kaisa jipya.
Mpango huu wa kuchangia ulianza rasmi tangu mwaka 2009, ambapo ulihusisha waumini wote wa kanisa la Mt. Augustino kwa kufuata utaratibu wa kijumuiya kwa jumuiya zote tano zilizopo.
Kamati ya Ujenzi ya kanisa mwaka 2009 ilianza kuratibu namna yay a kuanza kazi ya ujenzi wa kanisa jipya. Kamati ya Ujenzi iliigawa kazi hiyo katika awamu kuu tatu
I.                   Kuanzia msingi hadi Rinta
II.                Kuezeka
III.             Kumalizia (finishing)
Mpango huu upo kama inavyoonekana katika majedwali mbalimbali yafuatayo

I.                   AWAMU YA KWANZA
Awamu ya kwanza ya Ujenzi wa kanisa jipya la Mt. Augustino ulianza rasmi tar 14/09/2009
        Mchakato                                                                                                 TSHS
  1. KIWANJA kilipatikana na kulipiwa  ………………………………     900,000/00
  2. UJENZI WA MSINGI
Kuchora ramani  ……………………………………………………..   120,000/00
Upimaji wa Msingi ……………………………………...………….       10,000/00
Uchimbaji wa msingi (nguvu za waumini) …………………………     520,000/00
Ununuzi wa tofari 31,500@30/00 ………………………………….      945,000/00
Ununuzi wa nondo (mm 16) 24@23,000/00 …................................      552,000/00
Ununuzi wa nondo (mm 6) 12@ 7,000/00 …………………………       84,000/00
Unuuzi wa Mbao na Boriti …………………………………………     116,000/00
Misumari kg 4@4,000/00 …............................................................        16,000/00
 Ununuzi wa Kamba ………………………………………………      10,000/00
Misumari kg 4@4000/00 ….............................................................      16,000/00
Ununuzi wa vifaa mbalimbali …………………………………….       48,000/00
Binding wire   ……………………………………………………..       24,000/00
Gharama ya maji  ………………………………………………….       49,000/00
            Kata chuma + oil chafu ………………………………………….         11,000/00
            Ununuzi wa mabanzi na usafirishaji  …………………………….        41,000/00
            Kusakafia kitako cha msingi ……………………………………..        90,000/00
            Kokoto tripu moja ……………………………………………….        140,000/00
           Mchanga tripu ……………………………………………………          63,000/00
           Labour charge ……………………………………………………     1,106,000/00
                                                     GHARAMA ZA UJENZI WA MSINGI   3,945,000/00
03. NGUZO AWAMU YA KWANZA
 Gharama ya kumimina nguzo 19@174,500/00 ….................................      3,315,000/00
 Mbao za kutengeneza box, 24@ 10,500/00 …………………………..          252,000/00
Mbao za kutengenneza box, 14@8,000/00 …........................................          112,000/00
Ununuzi wa mirunda ……………………………………………….....               5,000/00
Kuranda/ kunyosha mbao ……………………………………………..             34,000/00
Usafirishaji wa mbao ………………………………………………….              32,000/00
                        GHARAMA YA KUMIMINA NGUZO AWAMU YA I      3,750,000/00
04. GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA KWANZA
Ununuzi wa tofari 65,000@36/62 ……………………………………          2,380,300/00
Usafirishaji wa tofari tripu 35@ 43,428/57 ………………………….           1,520,000/00
Cementi mifuko 34@17,000/00 …......................................................              578,000/00
Usafirishaji cementi ………………………………………………….                28,000/00
Mchanga tripu 4@63,000/00 …..........................................................               252,000/00
Mirunda na mabanzi ………………………………………………...                 30,000/00
Labour charge ………………………………………………………             2,106,000/00
      GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA KWANZA I      6,894,300/00
05. GHARAMA ZA KUTANDIKA JAMVI
Tofari saizi ya kati 6,500@50/00 ………………………………..                  325,000/00
Cementi mifuko 87@16,000/00 …............................................................    1,392,000/00
Mchanga tripu 9@70,000/00 ….................................................................       630,000/00
Kujaza kifusi ……………………………………………………………..    2,000,000/00
Labour charge …………………………………………………………….      270,000/00 
                                      GHARAMA ZA KUTANDIKA JAMVI                  4,617,000/00
06. GHARAMA ZA RINGBEAM AWAMU YA KWANZA
Nondo (mm 12) 42@19,000/00 ….............................................................        798,000/00
Nodo (mm 8) 20@ 12,000/00 ……………………………………………         240,000/00
Binding wire kg 12@ 3,500/00 ………………………………………….            42,000/00
Mbao 55@7,000/00 …...............................................................................          385,000/00
Misumari 4” kg 8@ 3,000/00 ……………………………………………             24,000/00
Misumari 3” kg 8@ 3,000/00 ……………………………………………             24,000/00
Misumari 2 ½ “ kg 10@ 3,000/00 ……………………………………….             30,000/00
Mirunda  50@ 4,000/00 ………………………………………………….           200,000/00
Mchanga tripu 2@ 70,000/00 …………………………………………..            140,000/00
Kokoto tripu 2@ 200,000/00 ……………………………………………            400,000/00
Cementi mifuko 60@ 17,500/00 ………………………………………..          1,050,000/00
Usafirishaji vifaa mbalimbali …………………………………………..               30,000/00
Labour charge …………………………………………………………...             295,000/00
Nguvu kazi waumini ……………………………………………………              885,000/00
                      GHARAMA ZA RINGBEAM AWAMU YA KWANZA            4,543,000/00
07. GHARAMA ZA KUPANDISHA NGUZO AWAMU YA PILI II
Nondo (mm 16) 19@ 30,000/00 …............................................................             570,000/00
Nondo (mm 8) 12@ 11,000/00 …………………………………………..             132,000/00
Mifuko ya cementi 38@ 17,000/00 ……………………………………..              646,000/00
Binding wire kg 8@ 3,000/00 …………………………………………..                 24,000/00
Misumari kg 6@ 3,000/00 ………………………………………………                 18,000/00
Labour charge  ……………………………………………………………           270,000/00
Nguvu kazi ya waumini …………………………………………………..           190,000/00
                 GHARAMA ZA KUPANDISHA NGUZO AWAMU YA PILI II    1,850,000/00
08. GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA PILI II
Ununuzi wa tofari 32,000@ 50/00 ……………………………………….         1,600,000/00
Ununuzi wa mchanga tripu 3@ 70,000/00 ………………………………             210,000/00
Ununuzi wa cementi mifuko 38@ 16,000/00 ……………………………              608,000/00
Kununua mirunda 30@ 6,000/00 …………………………………………             180,000/00
Labour charge …………………………………………………………….          1,490,000/00
                       GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA PILI II    4,088,000/00
09. GHARAMA ZA UJENZI WA RINGBEAM AWAMU YA PILI II
Nondo (mm 12) 48@ 19,000/00 ………………………………………….            912,000/00
Nondo (mm 8) 26@12,000/00 …...............................................................             312,000/00
Binding wire kg 15@ 3,500/00 …………………………………………..               52,500/00
Misumari 4” kg 6@ 3,000/00 …………………………………………….               18,000/00
Misumari 3” kg 8@ 3,000/00 …………………………………………….               24,000/00
Misumari 2 ½ “ kg 6@ 3,000/00 …………………………………………               18,000/00
Mchanga mgumu tripu 3@ 70,000/00 ……………………………………             210,000/00
Kokoto tripu 3@ 200,000/00 ……………………………………………..              600,000/00
Cementi mifuko 115@ 17,500/00 ………………………………………..           2,012,500/00
Mirunda 35@ 4,000/00……………………………………………………             240,000/00
Usafirishaji wa vifaa ………………………………………………………               85,000/00
Nguvu kazi ya waumini …………………………………………………..           1,745,000/00
Labour charge  …………………………………………………………….             350,000/00
            GHARAMA ZA UJENZI WA RINGBEAM AWAMU YA PILI II         6,579,000/00





SUMMARY
AWAMU YA KWANZA I
  1. KIWANJA ……………………………..………………………………     900,000/00
  2. GHARAMA ZA UJENZI WA MSINGI ………………………………  3,945,000/00
  3. GHARAMA YA KUMIMINA NGUZO AWAMU YA I ………….      3,750,000/00
  4. GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA KWANZA I      6,894,300/00
  5.  GHARAMA ZA KUTANDIKA JAMVI ……………………………    4,617,000/00
  6.  GHARAMA ZA RINGBEAM AWAMU YA KWANZA ……...           4,543,000/00
  7.   GHARAMA ZA KUPANDISHA NGUZO AWAMU YA PILI II …    1,850,000/00
  8. GHARAMA ZA UJENZI WA UKUTA AWAMU YA PILI II  ……...   4,088,000/00
  9.  GHARAMA ZA UJENZI WA RINGBEAM AWAMU YA PILI II …   6,579,000/00
                     JUMLA YA GHARAMA AWAMU YA KWANZA         37,166,300/00

AWAMU YA PILI II KUEZEKA
01.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA KWANZA I
Bati 90;7.5m (90 x 7.5m= 675m) 675m@ 14,419/60……………….           9,733,230/00
Nauli (Songea- Dsm-Songea) …………………………………………            200,000/00
Usafirishaji wa bati ……………………………………………………            270,000/00
Kupakia/kupakua bati …………………………………………………            100,000/00
                            MANUNUZI YA BATI AWAMU YA KWANZA I  10,303,230/00
02.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI II
      Bati 90;7.0m (90 x 7.0m= 630m) 630m@ 15,000/00 ………..…………       9,450,000/00
Nauli (Songea- Dsm-Songea…………………………………………..             200,000/00
Usafirishaji wa bati …………………………………………………...…          342,000/00
Kupakia/kupakua bati………………………………………  …………..          100,000/00
          MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI  II                       10,092,000/00
03.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA TATU III
      Bati 70; 10m (90 x 10m= 700m) 700m@ 15,000/00 ………..…………       10,500,000/00
      Nauli (Songea- Dsm-Songea…………………………………………..             200,000/00
   Usafirishaji wa bati …………………………………………………...…          266,000/00
   Kupakia/kupakua bati………………………………………  …………..          100,000/00
                                      MANUNUZI YA BATI AWAMU YA TATU  III     11,066,000/00                     
04.  MANUNUZI YA VYUMA
Medium black pipe 2 ½ “ x 6M; 75 pcs@ 69,000/00 ……………………..       5,175,000/00
Medium black pipe 2  “ x 6M; 22 pcs@ 54,000/00 ……………………….       1,188,000/00
Medium black pipe 1 ½ “ x 6M; 120 pcs@ 38,300/00 ……………………       4,596,000/00
Z Purlins 6” x 2” x 2”; 200@ 48,000/00  …………………………………        9,600,000/00
HRP 8 x 4 x 6 ; 2 @ 193,000/00  …………………………………………           386,000/00
M/s FLAT BARS 50 x 4 mm; 5@ 16,300/00 …………………………….             81,500/00
Angle lines 50 x 50 x 4mm; 35@ 31,300/00  ..…………………………….       1,095,500/00
Aluminium Plain sheet 2mm ; 13@ 147,000/00  …………………………..      1,911,000/00
Cutting discs 9” Farasi, 75@ 3,700/00  ……………………………………          277,500/00
Gold Star R/oxide, 16@ 16,700/00  ……………………………………….           267,200/00
Gold Star Hg A/Grey Box-4lt, 24@ 69,500/00  ……………………………       1,668,000/00
Stick 3.2 mm, 24@ 11,500/00  ……………………………………………..          276,000/00
Paint Brush 3 inch Tz, 10@ 2,350/00  ……………………………………..             23,500/00
Bolt & Nuts 16 mm x 50 mm; 100@ 2,700/00  ……………………………           270,000/00
Manila Kamba 18 mm; 20@ 76,000/00  …………………………………..         1,520,000/00
Steel Bars Tz Y16; 2@ 24,600/00  …………………………………………             49,200/00
SHS Class C 50 x 25 x 2.0 mm (2 “ x 2.0 mm); 30 @ 23,000/00 ………….           690,000/00
IT5 Alaf 28G; 30@ 12,000/00  ……………………………………………..           360,000/00
Valley Sheet; 6@ 12,000/00  …………………………………………….                 72,000/00
Self Taping screw 2 ½ “ ; 5@17,000/00  …………………………………               85,000/00
                                                                                                Jumla ndogo          29,591,400/00
Dharura ( 10% ya jumla ndogo)  ……………………………………….               2,959,140/00
                                                       GHARAMA MANUNUZI YA VYUMA     32,550,540/00

05.  GHARAMA ZA FUNDI KUEZEKA ……………………            15,000,000/00

SUMMARY
AWAMU YA PILI II
01.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA KWANZA I        10,303,230/00
02.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA PILI  II                10,092,000/00
03.  MANUNUZI YA BATI AWAMU YA TATU  III            11,066,000/00                     
04.  GHARAMA MANUNUZI YA VYUMA                          32,550,540/00
05.  GHARAMA ZA FUNDI KUEZEKA……………            15,000,000/00
GHARAMA ZA UJENZI AWAMU YA PILI II               79,011,770/00

AWAMU YA TATU III
01.  GHARAMA ZA UMEME
Main switch 2@ 40,000/00  ……………………………………..                   80,000/00
Twin sockets 13@ 8,500/00  ……………………………………..                110,500/00
Cooker box 13@ 1,000/00  ………………………………………                   13,000/00
1 Gang 2 ways switch 2@ 3,500/00  …………………………….                    7,000/00
2 Gang 2 ways  switch 2@ 3,500/00     …………………………                     7,000/00
3 Gang 2 ways switch;    2@ 4,500/00  …………………………                     9,000/00
4 Gang 2 ways switch 2@ 6,500/00  ……………………………                     13,000/00
Circuit breaker 2@ 25,000/00  …………………………………..                    50,000/00
1.5 mm2 wire ;  10 rolls@ 130,000/00  …………………………..                1,300,000/00
1.5mm2 flexibe wire 50m@ 1,600/00 …………………………...                     80,000/00
2.5 mm2  Wire; 3 rolls@ 140,000/00  ……………………………                   420,000/00
Wire 6.0 mm2 ; 7m@ 6,500/00  ………………………………….                     45,500/00
Ceiling fan 8@ 65,000/00  ……………………………………….                   520,000/00
Wall fan 5@ 55,000/00  ………………………………………….                   275,000/00
Lamp holder (tronic) 30@ 2,500/00  ………………………………                    75,000/00
Energy saver 85Watts 16@12,000/00  …………………………….                  192,000/00
Energy saver 35 watts; 20@ 4,500/00  …………………………….                   90,000/00
Angle  12@ 2,500/00  ……………………………………………..                    30,000/00
Heater switch 2 @ 5,000/00  ………………………………………                    10,000/00
Single sockets 5@ 5,500/00  ………………………………………                     27,500/00
Conduit pipes (WHITE) 500@ 1,500/00 …………………………                   750,000/00
Elbow joints 100@ 500/00  ………………………………………                     50,000/00
Square box for joints 30@ 500/00  ……………………………….                     15,000/00
Square box cover 30@ 300/00  …………………………………..                        9,000/00
Vintapes 10@ 1,000/00  ………………………………………….                     10,000/00
Cut out (100 amps) 1…………………………………………….                      20,000/00
Earth rod 1 ……………………………………………………….                     20,000/00
Earth wire 15m@ 1,000/00 ………………………………………                    15,000/00
SADIT 50@ 500/00  ……………………………………………..                      25,000/00
Galvanized pipes ½ “ 4 ………………………………………….
Gharama ya kuingiza umeme (TANESCO) ……………………..                   320,000/00
                                                                                              Jumla ndogo     4,588,000/00
Dharura ( 15% INCL galvanised pipes)      …………………….                    688,275/00
Gharama za fundi       ……………………………………………                   917,000/00
                                                                  GHARAMA ZA UMEME           6,194,475/00
               
02. GHARAMA ZA VIGAE/MARUMARU
I. GHARAMA ZA VIGAE
(i) Eneo la Kanisa = Upana (m 20) x Urefu (25.7)
                             = 514.0 m2 
(ii) Eneo la korido = Upana (m 3.5) x Urefu (9.5)
                              = 33.25 m2
Jumla ya eno zima la Kanisa ni ; (514 + 33.25) m2
                                                 = 547.25 m2
                                                 = (547.25 x 10,000) cm2
Marumaru moja ina urefu wa cm 40 na upana wa cm 40, kwa hiyo eneo la marumaru moja ni cm2 (40 x 40), ambazo ni cm2 1,600. Ili kupata marumaru zitakazotesheleza eneo la Kanisa lenye cm2  5,472, 500, tunatakiwa kugawa kwa eneo la marumaru moja ambalo ni cm2 1,600
Marumaru = cm2 5,472,500
                        Cm2 1,600
                       =3420
Kwa kuwa boksi moja la marumaru lina na marumarru kumi ; kupata idadi ya boksi zitakazotumika tunagawa idadi ya marumaru kwa kumi
    = 3420/10
      = 342
Jumla ya boksi za marumaru zitakazotumika ni 342@ 37,000/00…….. 12,654,000/00
II. GHARAMA ZA UWEKAJI MARUMARU
. Cementi mifuko 60@ 15,000/00 ……………………………………...      900,000/00
Usafirishaji wa cementi …………………………………………………       50,000/00
Mchanga lori 5@ 70,000/00 ……………………………………………      350,000/00
Labour charge ………………………………………………………….    2,790,000/00
Dharura ( 10% ya gharama) ……………………………………               1,395,000/00
 JUMLA YA GHARAMA ZA VIGAE NA UWEKAJI                            18,139,400/00              

03. MILANGO (11)
I. FREMU
Boriti 28@15,000/00 ….........................................................................         420,000/00
Kuranda boriti 28@ 2,000/00  …………………………………………          56,000/00
Urembo boriti 28@ 2,000/00 ………………………………………….           56,000/00
Ufundi fremu 11@ 15,000/00 …………………………………………         165,000/00
                                                                                                              Jumla  697,000/00
II. SHATA ZA MILANGO
Boriti (8” x 2”) 45@ 25,000/00 ……………………………………….      1,125,000/00
Mbao 10” x 1”) 38@ 25,000/00 …………………………………….....         950,000/00
Kuranda 16 ps@ @ 25,000/00 ………………………………………....        400,000/00
Ufundi    10 ps@ 25,000/00 …………………………………………….       250,000/00
                  6 ps@ 30,000/00 …………………………………………….      180,000/00
Usafiri …………………………………………………………………….      50,000/00
                                               GHARAMA ZA SHATA ZA MILANGO     2,955,000/00
III. VIFAA VINAVYOHITAJIKA
Vitasa 11@ 100,000/00 …………………………………………………..     1,100,000/00
Bawaba 36@ 4,500/00 ……………………………………………………        162,000/00
Vanish lita 15@8,000/00 ….........................................................................        120,000/00
Tinner 5@ 2,500/00 ……………………………………………………….          12,500/00
Msasa 15 pcs@ 200/00 ……………………………………………………..          3,000/00
                                                                                                   Jumla ndogo    1,397,500/00
SUMMARY
FREMU       ……………………………………………………………..             697,000/00
SHATA        …………………………………………………………….           2,955,000/00
VIFAA          …………………………………………………………….           1,397,500/00
                                 GHARAMA ZA MILANGO     …………………….        5,049,500/00
04. UJENZI WA GIBLO
Matofali 25,000@ shs 60/00 …………………………………………….          1,500,000/00
Mirunda mikubwa 10@ 6,000/00 ……………………………………….                60,000/00
Mirunda midogo 15@ 4,000/00 …………………………………………                60,000/00
Mirunda midogo 10@ 3,000/00  …………………………………………               30,000/00
Mabanzi 25@ 3,500/00 ………………………………………………….                87,500/00
Misumari 4” kg 8@ 4,000/00 …………………………………………….               32,000/00
Misumari  3” kg 7@ 4,000/00 ……………………………………………               28,000/00
Vifaa vya kazi
                         Karai 4@ 5,000/00 ……………………………………….               20,000/00
                         Ndoo ndogo 4@ 3,000/00 ……………………………….                12,000/00
                         Ndoo kubwa 3@ 6,000/00 ……………………………….               18,000/00
                         Kamba ya Manira 3@2,000/00 …………………………..                 6,000/00
                         Kamba ya katani bunda 6@ 6,000/00 ……………………              36,000/00
                         Banding 4@ 4,000/00   ……………………………………             16,000/00
Usafirishaji vifaa …………………………………………………………..            650,000/00
Chakula wakati wa kazi  ………………………………………………….             150,000/00
Labour charge        ………………………………………………………..              593,100/00
                                                                     JUMLA UJENZI WA GIBLO           3,558,600/00
5. GHARAMA ZA MADIRISHA YA ALMUNIUM
JAM 60@ 38,000/00 ……………………………………………………..            2,280,000/00
CLI 16@ 38,000/00 ………………………………………………………               608,000/00
PLEN 27@ 18,000/00 …………………………………………………                   486,000/00
HOOKES 27@ 18,000/00 ………………………………………………..               486,000/00
TOP 27@ 18,000/00    ……………………………………………………              486,000/00
HENGO 4@ 18,000/00 …………………………………………………..                 72,000/00
RABASHATA 6@ 30,000/00 ……………………………………………              180,000/00
ROLASHATA 252@ 600/00 ……………………………………………               151,200/00
RIVERT BOX 4 @17,500/00 …………………………………………..                   70,000/00
SCREWS SHATA 2@ 17,500/00 ……………………………………….                 35,000/00
SCREWS UKUTA 4@ 17,500/00 ……………………………………….                 70,000/00
FESNA LOCK 63@ 2,500/00    ………………………………………….              157,500/00
FISHERBOX 6@ 1,500/00 ………………………………………………                   9,000/00
NYOYA KUBWA 4@ 30,000/00 ……………………………………….               120,000/00
KIOO SHEET 31@ 93,000/00 …………………………………………..            2,883,000/00
LABOUR CHARGE 63@ 20,000/00 ……………………………………            1,260,000/00
DHARURA (10% )  ………………………………………………………              809,300/00
                                           GHARAMA ZA MADIRISHA ALMINIUM           10,163,000/00




06. GRILL( MADIRISHA NA MILANGO)
I. MADIRISHA
Jumla ya madirisha ni 63
a. Madirisha ya Juu (40)
Pipe 2 (1” x 1” )@ 9,500/00 x 40 ………………………………………….           760,000/00
Flatbars (4mm) 5@ 9,000/00 x 40 …………………………………………        1,800,000/00

b. Madirisha ya chini (23)
Pipe 2 (1 ½ ” x 1” )@ 14,500/00 x 23 ………………………………….                667,000/00
Flatbars (4mm) 5@ 9,000/00 x 23 …………………………………………        1,035,000/00
Labour charge 63@ 25,000/00 …………………………………………….        1,575,000/00
                                                      GHARAMA ZA GRILL MADIRISHA          5,837,000/00
II. MILANGO
Mlango 1: (260 cm x 140 cm)
Pipe 5 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..        80,000/00
Sheet 2@  48,000/00 ………………………………………………………….       96,000/00

Mlango 2: (266 cm x 193 cm)
Pipe 5 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..        80,000/00
Sheet 2@  48,000/00 ………………………………………………………….       96,000/00

Mlango 3: (265 cm x 134 cm)
Pipe 4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..        64,000/00
Sheet 1 ½ @  48,000/00……………………………………………………….       72,000/00

Mlango 4: (263 cm x 110 cm)
Pipe 4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..        64,000/00
Sheet 1@  48,000/00 ………………………………………………………….       48,000/00

Mlango 5: (262 cm x 118 cm)
Pipe 4 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..       64,000/00
Sheet 1@  48,000/00 ………………………………………………………….       48,000/00

Mlango 6: (253 cm x 98 cm)
Pipe 3 (1 ½ “ x 1 ½ “)@ 16,000/00 …………………………………………..        48,000/00
Sheet 1@  48,000/00 ………………………………………………………….       48,000/00
                                                            GHARAMA ZA GRILL MILANGO        808,000/00
III. VIFAA VYA MILANGO
Stick box 10@ 7,500/00 …………………………………………………              75,000/00
Lead Oxide (rangi ya kutu) lita 4; 6@ 20,000/00 ……………………….             120,000/00
Bawaba za Mlango mmoja 2; 14@ 3,000/00 …………………………….              42,000/00
Cutting disc 10@ 5,000/00 ……………………………………………….              50,000/00
Grinding disc 10@ 5,000/00   …………………………………………….              50,000/00
Mafuta ya Lead Oxide (Tinner) lita 10@ 2,000/00 ……………………….             20,000/00
Labour charge ………………………………………………………………         230,000/00
                                                JUMLA YA GHARAMA ZA VIFAA                    587,000/00
SUMMARY
GHARAMA ZA GRILL MADIRISHA  …………………………...                    5,837,000/00
GHARAMA ZA GRILL MILANGO ………………………………………...        808,000/00
JUMLA YA GHARAMA ZA VIFAA    ………………………………..                587,000/00