Hippo Parish Mjimwema Songea

Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com

Saturday 22 April 2017

Matukio wakati wa Pasaka 16/4/2017

 Picha ya Maazimisho ya Misa takatifu, Rev Can Midelo akitoa azimisho hilo Jumapili ya Sikukuu ya Pasaka.


 Shemasi D.Nombo na Can John Midelo Wakati wa azimisho la Misa takatifu.

Waumini wakishiriki Meza ya Bwana.

Wanakwaya wa Mt Augustino wakimsifu Mungu mara baada ya Misa takatifu tarehe 16/4/2017 Siku ya Pasaka
 Rev Can na wahudumu wa Misa picha ya pamoja na wanakwaya wa Mt Augustino.
 Waumini wakipeana amkio la Amani mara baada ya Misa takatifu ya Pasaka 2017 nyuma yao ni Kanisa Jipya.
Rev Can John Midelo akibusu madhabahu kushoto ni Mshumaa wa Pasaka.