Hippo Parish Mjimwema Songea

Karibu katika tovuti ya kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma, mtaa wa mtakatifu Agustino Hippo Parishi Mjimwema Songea,kwa mawasiliano SLP 600 Songea ,baruapepe ni hippoparish.mjimwema@gmail.com

Friday 29 July 2016

Kanisa la Mtakatifu Agustino wa Hippo Mjimwema

 Kanisa jipya la mtaa wa mtakatifu Agustino wa Hippo Mjimwema Songea,ambalo linaendelea na ujenzi ambapo hadi sasa limegharimu zaidi ya shilingi milioni 50.
Ili kukamilika kanisa hilo zinatarajiwa kutumika zaidi ya shilingi milioni 70.Wote ambao wanaguswa kusaidi ukamilishaji wa kanisa hili,wasiliana na padre wa mtaa kwa simu namba +225764932162,baruapepe hippoparish.mjimwema@gmail.com,akaunti namba benki ya CRDB NO.0152201264100  JINA LA AKAUNTI KANISA LA
ANGLIKANA TANZANIA AU BENKI YA NMBTAWI LA SONGEA AKAUNTI NAMBA 61810012860 JINA LA AKAUNTI KANISA LA  MTAKATIFU AGUSTINO MJIMWEMA

 Hapa katika picha ni semina ya neno la Mungu imeanza tangu Julai 27 hadi 31 ndani ya kanisa la mtakatifu Agustino Mjimwema ikiongozwa na mchungaji Dk. William Kobwe kutoka KKKT Tanga
Pichani akinamama wazamiaji wa semina hiyo wakiwa ndani ya kanisa dogo  linalotumika sasa wakiombea semina hiyo.
Mchungaji wa KKKT Tanga Dk.William Kobwe akiwaombea watu wenye mahitaji mbalimbali waliofika kwenye semina hiyo

No comments:

Post a Comment